Ruka hadi maudhui
Mabutu - Jackline's Hairdressing Salon

Mabutu

100,000 TZS

Mabutu - zinasokotwa kuwa coili ndogo na nadhifu. Zivae zikiwa hivyo au zifungue kwa curls zenye bounce.

Uko tayari kuweka oda?

Tutumie ujumbe kupanga miadi yako ya kusuka

Weka Oda kupitia WhatsApp

Tupo wapi

Jackline's Hairdressing Salon · Mianzini, Arusha

Tupo Mianzini, Arusha — kabla ya Msikiti, karibu na duka la Throne Bet, upande wa kulia ukipanda mlima

Tupo wazi: Jumanne–Jumapili, 09:00–20:00 · Imefungwa: Jumatatu