Ruka hadi maudhui
Crochet - Jackline's Hairdressing Salon

Crochet

35,000 TZS

Crochet zinashikwa kupitia msingi wa cornrow kwa sura kamili na ya asili. Chaguo nzuri ukitaka unene na mitindo mbalimbali bila kukaa masaa mengi.

Gallery

Uko tayari kuweka oda?

Tutumie ujumbe kupanga miadi yako ya kusuka

Weka Oda kupitia WhatsApp

Tupo wapi

Jackline's Hairdressing Salon · Mianzini, Arusha

Tupo Mianzini, Arusha — kabla ya Msikiti, karibu na duka la Throne Bet, upande wa kulia ukipanda mlima

Tupo wazi: Jumanne–Jumapili, 09:00–20:00 · Imefungwa: Jumatatu