Ruka hadi maudhui
Kufumua - Jackline's Hairdressing Salon

Kufumua

10,000 TZS

Kufumua nywele kwa uangalifu na upole kuepuka kuvunjika. Tunachukua muda wetu ili nywele zako za asili zibaki zenye afya.

Uko tayari kuweka oda?

Tutumie ujumbe kupanga miadi yako ya kusuka

Weka Oda kupitia WhatsApp

Tupo wapi

Jackline's Hairdressing Salon · Mianzini, Arusha

Tupo Mianzini, Arusha — kabla ya Msikiti, karibu na duka la Throne Bet, upande wa kulia ukipanda mlima

Tupo wazi: Jumanne–Jumapili, 09:00–20:00 · Imefungwa: Jumatatu