Ruka hadi maudhui
Za Mikono - Jackline's Hairdressing Salon

Za Mikono

30,000 TZS

Cornrow za kawaida zinasukwa karibu na ngozi ya kichwa kwa mistari au mifumo rahisi. Mtindo safi na rahisi kutunza unaofaa kila mtu.

Uko tayari kuweka oda?

Tutumie ujumbe kupanga miadi yako ya kusuka

Weka Oda kupitia WhatsApp

Tupo wapi

Jackline's Hairdressing Salon · Mianzini, Arusha

Tupo Mianzini, Arusha — kabla ya Msikiti, karibu na duka la Throne Bet, upande wa kulia ukipanda mlima

Tupo wazi: Jumanne–Jumapili, 09:00–20:00 · Imefungwa: Jumatatu