Yebo Yebo
60,000 TZS
Kusuka kunakoanza nyembamba kwenye hairline na kuzidi kunenepa, halafu kukusanywa kuwa bun nadhifu. Mtindo safi unaostarehesha kuvaa kila siku.
Tupo wapi
Jackline's Hairdressing Salon · Mianzini, Arusha
Tupo Mianzini, Arusha — kabla ya Msikiti, karibu na duka la Throne Bet, upande wa kulia ukipanda mlima
Tupo wazi: Jumanne–Jumapili, 09:00–20:00 · Imefungwa: Jumatatu